JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

BAADA YA MKWASA NA SANGA KUACHIA NGAZI, UONGOZI YANGA WATOA TAMKO JUU YA WATAKAORITHI NAFASI ZAO

Baada ya viongozi wa Yanga kuzidi kuachia ngazi akiwemo Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo jana, Clement Sanga kutangaza kujiuzulu wadhifa wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika, ameitisha kikao na wahabari leo. Nyika ameitisha kikao hicho kuzungumzia mustakabali mzima…

Mwenyekiti UVCCM adai Chadema itaambulia majimbo mawili 2020

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kheri James ametamba kwamba chama chake kitashinda katika uchaguzi mdogo wa Agosti 12, mwaka huu katika kata zote na ubunge wa jimbo la Buyungu. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni katika Kata ya…

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Robert Mugabe amekuwa kiongozi wa kwanza kuhukumiwa tangu kiongozi…

Madiwani 30 wa CCM Wapita Bila Kupingwa

TUME ya taifa ya uchaguzi, NEC wamesema wagombea wa udiwani 3O kutoka CCM wamepita bila kupingwa baada ya wagombea wa upinzani kuenguliwa kwa sababu mbalimbali kwenye uchaguzi unatarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Vyama vya upinzani, CHADEMA na ACT wiki…