JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Malcom akamilisha uhamisho wa £36.5m kutoka Bordeaux kuelekea Barcelona

Winga wa Brazil Malcom amekamilisha uhamisho wa kitita cha £36.5m kwa kujiunga na Barcelona kutoka Bordeaux. Mkataba huo ulitangazwa mara ya kwanza siku ya Jumanne baada ya mabingwa hao wa Uhispania kuwashinda Roma katika kupata saini ya mchezaji huyo mwenye…

Kenya kuandaa riadha ya vijana wasiozidi miaka 20 mwaka 2020

Bodi ya shirikisho la riadha duniani , IAAF imeuchagua mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuwa mwenyeji wa mashindano ya riadha ya ulimwengu ya vijana wenye chini ya umri wa miaka 20 yatakayoandaliwa mwaka 2020. Uamuzi huo wa kuchagua mji huo…

Meja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran amuonya Trump

Kamanda wa kikosi maalum cha Iran amemuonya rais Donald Trump kwamba taifa lake litaharibu ‘kila kitu kinachomilikiwa na rais huyo’ iwapo Marekani itashambulia Iran. Meja Jenerali Qassem Soleimani aliapa kwamba iwapo bwana Trump ataanzisha vita, ‘jamhuri ya Iran itamaliza vita…

Diamond azuiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere

 Diamond Platnumz na msafara wake walikuwa katika hali ya taharuki kwa saa kadhaa baada ya kuzuiwa na Baraza la sanaa nchini Tanzania, BASATA walipokuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutumbuiza nje ya nchi…

Waziri Lugola maliza sakata la Lugumi

Ni miaka miwili na nusu sasa tangu Watanzania walipoanza kusikia kuhusu sakata la Kampuni ya Lugumi Enterprises kushindwa kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo 108 vya Polisi, kama mkataba wa kampuni hiyo na Wizara ya Mambo ya…