JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dodoma walizwa

Kampuni uuzaji viwanja, nyumba yafanya yake * Mamia waambulia patupu, waangua vilio * Ilitambulishwa bungeni kwa mbwembwe nyingi DODOMA NA MWANDISHI WETU Baadhi ya watumishi wa umma na watu binafsi jijini Dodoma wanalalamika kutapeliwa na kampuni ya uendelezaji ardhi, ya…

Ole wenu mnaokaa kimya!

Mwanzo nilidhani tunaopinga usaliti wa wanasiasa wanaojiuzulu udiwani na ubunge na kwenda vyama vingine, tu wachache. Sikuwa sahihi. Baada ya kuliandika suala hili kwa mara ya tatu wiki iliyopita, nimepata mrejesho mkubwa. Wapo Watanzania wa kutosha wanaopinga hiki kinachoendelea. Vyama…

Waziri Kairuki tembelea Nyasirori

Sisi wananchi wa Nyasirori, Butiama mkoani Mara, tunaomba kujua faida za huu mgodi wa dhahabu kijijini kwetu. Tangu kuanzishwa kwa mgodi huu kwa kweli hatuoni mafanikio yoyote ya maana kwetu wananchi wa kawaida. Tunachokiona ni baadhi ya viongozi wa kitaifa…

Jabir Kigoda ahusishwa magari ya wizi

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mfanyabiashara, Jabir Kigoda, anakabiliwa na tuhuma za kukutwa na magari matatu yanayodaiwa kuwa ni ya wizi. Magari hayo ya kifahari yamo kwenye orodha ya magari yaliyoibwa nchini Afrika Kusini. JAMHURI limeambiwa kuwa Shirikisho la…

Chadema yamvua uanachama diwani wake Sumbawanga

  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Rukwa, kimemfuta uanachama na kumvua udiwani, Dickson Mwanandenje aliyekuwa diwani wa kata ya Majengo wilaya Sumbawanga mkoani hapa. Mwenyekiti wa Chadema mkoa huo, Shadrack Malila maarufu Ikuwo amesema leo Agosti 11…