JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mafisadi wapiga

*Waorodhesha simu, majina hewa ya watu *Mbinu hiyo yawafanya watumbue mamilioni *Watumishi 11 wakiona cha moto, wafukuzwa ARUSHA NA MWANDISHI WETU Ufisadi wa mamilioni ya shilingi umebainika kufanywa kwenye miradi ya baiogesi inayosimamiwa na Kituo cha Zana za Kilimo na…

BREAKING: Madiwani Wawili CUF Wahamia CCM

Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Madiwani hao wa Kata ya Kilindoni, Hamad Musa na Hassani Mohammed wa Kata ya Jibondo wilayani…

Barcelona Yatwaa Ubingwa wa Super Cup

Klabu ya Barcelona, imetwaa ubingwa wa kombe la Super Cup,kwa kuifunga Sevilla kwa magoli 2-1 katika mchezo uliochezwa nchini Morocco. Sevilla ndio walianza kuzifumania nyavu za wapinzani wao kwa kufunga goli ka kuongoza katika dakika ya tisa ya mchezo kupitia…

RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya Jogging kwa kuvipatia mitaji ya kuwezesha kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa Bonanza la Vilabu vya Jogging…