JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.   Mwanafunzi huyo, Jonathan…

Bobi Wine, Wenzake 30 Kurejeshwa Mahakamani Leo

MBUNGE  na mwanamuziki, Bobi Wine, leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi Wine na washukiwa wegine 32 wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kisha kesi hiyo kuhamishiwa Mahakama Kuu. Mahakama ya mwanzo ya Gulu…

Sheria vyama vya siasa ibadilishwe

Mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini ulirejeshwa miongo miwili na nusu iliyopita, katika safari hiyo kumekuwa na malalamiko lakini pia maboresho ili kulinda tunu za taifa na kudumisha mshikamano na umoja wa kitaifa. Agosti mwaka jana Ofisi ya…

Udokozi unatuangusha Watanzania

Udokozi unatuangusha Watanzania Nimemwona na kumsikia Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, wa kigeni akiendesha mtambo kwenye ujenzi wa barabara moja wil Muro, anasema si sahihi kwa mgeni kufanya kazi hiyo ilhali wapo W wenye sifa na ujuzi. Amenikumbusha…

Kiama kipya *Sheria kuwabana wahama vyama yaiva,

Kiama kipya *Sheria kuwabana wahama vyama yaiva, wengi kulia *Wanaohamia CCM waambiwa wanaingia kwenye safina *Watabanwa wasihamie upinzani uchaguzi mwaka 2020 NA MWANDISHI WETU Wanasiasa wanaohama vyama wanakabiliwa na mtego mwingine mpya, JAMHURI limethibitishiwa. Mpango huo uko kwenye hatua za…