JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

AAT kushirikiana na kikosi cha usalama barabarani kutoa elimu kwa wanafunzi

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Elimu ya Usalama barabarani haina hudi kuwa ya lazima kutolewa kwa wanafunzi na ianzie ngazi ya chini yaani shule ya msingi ili kusaidia watoto kuondokana na changamoto ya ajali zinaweza kuwatokea wanapotoka majumbani kuelekea shuleni…

Miaka 60 ya Tanzania na China ni zaidi ya diplomasia

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Safari ya mahusiano kati ya mataifa mawili ya Tanzania na China imezidi kuvuka mipaka ya kidiplomasia hadi kufikia katika ngazi za juu zaidi ya uhusiano. Nchi hizo mbili ziko katika maadhimisho ya kusheherekea…

Bilioni 18 zimehusisha matengenezo miundombinu ya BRT si mradi wa Jangwani pekee

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based…

Zaidi ya bilioni 11 kusambaza umeme vitongojini Shinyanga

đź“ŚKunufaisha Kaya 2,970 katika Vitongoji 90 ndani ya Wilaya Tatu đź“ŚRC Macha asema Umeme ni kipaumbele cha Rais Samia Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha Kaya…

Aliyetembea na wanawake 400 achukuliwa hatua

Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue ametangaza kuwa Serikali itaanza kusimika kamera za ulinzi katika ofisi zote za umma, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha utekelezaji wa sheria na kudhibiti mienendo isiyo na maadili na ya kinyume na…

Jeshi la Korea Kaskazini laingia Urusi

Msemaji wa Pentagon, Meja Jenerali Pat Ryder amesema kati ya wanajeshi 11,000 na 12,000 kutoka Korea Kaskazini tayari wamewasili nchini Urusi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky  amesema kwa mujibu wa data za kijasusi zinaeleza kwamba  wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini…