JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TUZO ZA AMVCA NIGERIA YATAWALA, KENYA YASHINDA TUZO 6 TANZANIA IKITOKA KAPA

Wakenya wameshika nafasi ya pili kutawala katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards maarudu kama (AMVCA) zilizomalizika hivi punde hapa jijini Lagos, Nigeria. Wakenya wameshinda tuzo sita kati ya nane walizokuwa wakiwania na kuwapiga kumbo Watanzania kw aupande wa Afrika…

Askofu Aomba Radhi kwa Kumgusa Kifua Mwanamuziki

Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo. Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu…

MIAKA 54 YA JWTZ: JENERALI MABEYO, MAKONDA WAFANYA USAFI

MKUU wa Majeshi yaUlinzi nchini (JWT), Venance Salvatory Mabeyo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wameongoza maadhimisho ya mwaka wa 54 tangu kuundwa kwa jeshi hilo, kwa kufanya usafi jijini Dar es Salaam. Mabeyo na Makonda…