JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Lissu ameumizwa, lisitokee tena Tanzania

Na Deodatus Balile Leo nimeona niandike mada inayohusiana na hali ya usalama, amani, utulivu na upendo kwa taifa letu. Nimesoma maandishi ya Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, wakati anatimiza mwaka mmoja wa maumivu tangu alipopigwa risasi Septemba 7,…

Mfanyabiashara ‘mwizi’ Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi MFANYABIASHARA maarufu mkoani Kilimanjaro, Bosco Beda Kya kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya n amepandishwa kizimbani. Kyara na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya H wakikabiliwa na mashtaka mawili,…

Bosi Takukuru du!

*Kesi ya Singa, Rugemalira, wabunge zamtia kitanzini *Mfumo mpya kupokea, kukalia taarifa wamponza *Rais Magufuli apasua jipu, yeye ajipiga ‘kufuli’ Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Kushindwa kupambana na rushwa kubwa, kutotengeneza mazingira rafiki kwa watoa taarifa za rushwa na…

Koffi Annan kuzikwa Ghana, Alhamisi

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, umewasili katika nchi Ghana. Mwili wake umewasili katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Kotoka uliopo mjini Accra, ukisindikizwa na familia yake na maafisa wengine wa Umoja wa Mataifa….

LEO NDIYO SIKU YA MWISHO KUCHUKUA FOMU, SIMBA WATOA TAMKO

Uongozi wa Simba umesema leo ndiyo siku ya mwisho kwa wanachama wa timu hiyo kuchukua fomu kwa ajili uya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa klabu, Haji Manara, amewasihi wanachama wa klbu kujitokeza leo Jumatatu…