JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (1)

Nilifurahi mno Jumatano ya Septemba 5, mwaka huu nipoona katika runinga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa, akiwa katika Kiwanda cha Korosho Tandahimba akitoa uamuzi wa serikali (kwa barua rasmi) kwa mwekezaji wa kiwanda kile kununua korosho kwa kufuata…

Jela si mchezo

DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Kishindo kikubwa kinatarajiwa kuanza kusikika wiki hii baada ya mabadiliko ya uongozi katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Mtikisiko huo, pamoja na mambo mengine, utawahusisha baadhi ya vigogo wanaotuhumiwa kujihusisha na…

Mbunge wa Uganda Robert Kyagulanyi Kurejea Uganda Leo

Mbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda, Robert Kyagulanyi ambaye pia ni mwanamuziki maarufu nchini humo ajulikanaye kama Bobi Wine anatarajia kurudi nchini Uganda leo akitokea nchini Marekani ambapo alienda kupata matibabu baada ya kupigwa na vyombo vya dola. “Nitarejea nyumbani…

KOCHA CHELSEA AWATAJA WAFUNGA MABAO BORA LIGI KUU ENGLAND

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu na kujishindia tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia, kwa mujibu wa meneja wa klabu hiyo Maurizio Sarri. Kwa mujibu wa BBC, Hazard alifunga mabao matatu dhidi ya…

Kimbunga Mangkhut chaua watu 30 Ufilipino chasambaa mpaka Hong Kong

Watu zaidi 30 wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino. Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa. Maeneo mengi ya kisiwa cha Luzon yamejaa maji, yakiwemo mashamba ambayo huzalisha mazao makuu nchini humo…