JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Shein afanya uteuzi wa viongozi Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali za Serikali. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Jumamosi Septemba 29, 2018 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi,…

Manara Asema Hakuna Pengo la Bocco Leo Dhidi ya Yanga Sc

Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema kukosekana kwa Nahodha wake, John Bocco, hakutoweza kuleta athari yoyote katika mchezo dhidi ya Yanga leo. Simba itakuwa mwenyeji kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza na…

Mbwana Samatta Apiga tena hat-trick

Ligi Kuu Ubelgiji msimu wa 2019/20 imeendelea tena jana club ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilikuwa nyumbani Luminus Arena kucheza game yake ya 9 ya Ligi Kuu dhidi ya Zulte Waregem. Game hiyo ilikuwa na mvuto wa…

Zidane Ajiandaa Kuchukua Mikoba ya Mourinho Man U

Jumamosi ya September 29 2018 club ya Man United ilikuwa London kucheza game yake ya ya Ligi Kuu England dhidi ya wenyeji wao West Ham United katika uwanja wa London Stadium. Man United ambayo ipo katika wakati mgumu kwa sasa…

Ndugu Rais tunashangilia ushindi kwa u-vuvuzela wetu

Ndugu Rais tumwombe Mwenyezi Mungu asikae mbali na sisi maskini wake, bali atukaribie! Mavuvuzela yamesimama mbele yetu, ona wanayotufanyia. Muumba usifiche uso wako wakati wa taabu zetu; wakati tunapolia sana! Sikia maombi ya watoto wako ushuke, tunaangamia. Shuka utusaidie. Tunapotafakari…