JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni katika…

Asante Mahakama Mkoa wa Mwanza

Miongoni mwa habari tulizozipa kipaumbele kwenye toleo hili ni ile inayohusu uamuzi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kutupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari wawili waliobambikiwa kesi. Waandishi hao walishitakiwa kwa kile kinachodaiwa kwamba walijifanya ni maofisa wa…

Hongera Serikali kuzibana NGOs

NA ANGELA KIWIA Serikali imetoa maagizo kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na kuyataka kuyatekeleza ndani ya mwezi mmoja. Napenda kuipongeza serikali kwa hatua hii muhimu. Natambua wapo baadhi ya ndugu zetu hawatafurahia hatua hii ya serikali kuzibana NGOs, kwa…

Waandishi wa habari washinda kesi

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Mahakama ya Mkoa wa Mwanza imetupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari, Christopher Gamaina (Gazeti la Raia Mwema) na George Ramadhani (kujitegemea) waliotuhumiwa kujifanya maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za…

Idadi ya wazee kuongezeka

  ARUSHA NA MWANDISHI WETU Idadi ya wazee nchini Tanzania inakadiriwa kuwa asilimia 11 ya watu wote ifikapo mwaka 2050. Hali hiyo inasababishwa na ongezeko la idadi ya watu na kuboreshwa kwa huduma za afya nchini. Mratibu wa Huduma za…

Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha

New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini…