JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Vyombo vya habari ni chuo cha maarifa

Vyombo vya habari (mass media) ni njia ya mawasiliano kati ya mtu na mtu, katika kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana. Iwe wakati wa kazi, mapumziko au starehe. Ni njia ya kufikia kupata maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote duniani….

Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha

New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini…

JPM amfuta machozi Mfugale

Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mfugale Flyover, Tazara jijini Dar es Salaam uliofanyika Septemba 27, 2018. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli alieleza kwanini ametaka daraja hilo lipewe jina la Mtendaji Mkuu…

Hongera Serikali kuzibana NGOs

NA ANGELA KIWIA Serikali imetoa maagizo kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na kuyataka kuyatekeleza ndani ya mwezi mmoja. Napenda kuipongeza serikali kwa hatua hii muhimu. Natambua wapo baadhi ya ndugu zetu hawatafurahia hatua hii ya serikali kuzibana NGOs, kwa…

Tetemeko laacha maafa Indonesia

Jakarta, Indonesia Watu zaidi ya 380 wamethibitishwa kufa baada ya tsunami kusababisha tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richter 7.5, lililopiga mji wa Jakarta mwishoni mwa wiki. Upepo mkali ulivuma kutoka Palu katika Kisiwa cha Sulewesi kwa mita tatu. Video…

Badilika ili uwabadili wengine

Mabadiliko hayazuiliki. Kubadilika kwa ajili ya yaliyo bora ni ajira ya wakati wote. Adlai E. Stevenson II Mabadiliko ni kanuni ya maisha na uumbaji. Hebu fikiri na uwaze. Ulipokuwa na umri wa miaka mitatu, ulikuwa wewe? Bila shaka ulikuwa ni…