JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Botswana yanufaika madini, Tanzania yajikongoja…

*Waziri wao ashangaa Watanzania kutochukua fursa waliyoiomba *Ampongeza Rais Magufuli kubadili sheria za madini mwaka 2017 *Katibu Mkuu Madini asema Tanzania haina cha kujifunza Botswana Na Mkinga Mkinga, Aliyekuwa Gaborone, Botswana Wakati Tanzania ikibadili sheria yake ya madini mwaka 2017,…

Matapeli wa bima waendelea kutamba

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Kampuni zinazouza bima kwa magari yanayosafirishwa nje ya nchi (IT) zinaendelea kufanya biashara hiyo licha ya kubainika kuwa ni utapeli. Wakati Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ikisema stika za bima za muda…

Jaji Sumari majaribuni tena Moshi

Na Charles Ndagulla, Moshi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari, ameandamwa tena na wananchi wanaokataa asisikilize mashauri yaliyo mbele yake kwa madai kuwa hawana imani naye. Hatua hii inakuja huku kukiwa na taarifa kutoka Mahakama Kuu…

Wakazi Dar kupata maji zaidi

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam na Pwani (Dawasa), Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange, amewatoa hofu wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Pwani kuhusu upatikanaji wa…

Wizara isiwapuuze Botswana

Katika gazeti la leo tumechapisha habari za uchimbaji wa madini nchini Botswana na jinsi wakazi wa nchi hiyo wanavyonufaika. Tumempeleka mwandishi Botswana kufuatilia habari hizo na amekuja na maelezo yenye kutia moyo kuwa nchi yetu ikipata watumishi wanaoitanguliza nchi, Tanzania…

Odinga anakuwa Rais Kenya

Na Deodatus Balile, aliyekuwa Mombasa Kuna kila dalili kuwa mwanasiasa Raila Amolo Odinga (73), miaka minne ijayo atachaguliwa kuwa Rais wa Kenya, yaani mwaka 2021. Hivi karibuni nimepata fursa ya kuwa jijini Nairobi na baadaye nikasafiri hadi Mombasa, ambako nimepata…