JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WAKALA WA SAMATTA AKANUSHA TAARIFA ZINAZOZAGAA KUHUSU MBWANA KUKIPIGA LIGI YA EPL

Baada ya kuzuka tetesi jana juu ya Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ulaya, wakala wa mchezaji huyo, Jamali Kisongo, ameibuka na kukanusha habari hizo. Iliripotiwa kuwa Samatta ameanza kuwindwa na timu kadhaa zinazoshiriki Ligi Kuu…

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley ajiuzulu

Balozi wa marekani kwenye Umoja wa mataifa Nikki Haley ametangaza kujiuzulu. “Imekuwa ni heshima ya maisha” alisema Nikki Hailey akiwa na Rais Donald Trump huko White house alipotangaza kujiuzulu nafasi yake huku akiongeza kwamba haondoki mpaka mwisho wa mwaka. “Tutakukumbuka…

Uingereza imeitaka Saudia kutoa maelezo ya kina juu ya kupotea kwa Mwandishi

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema kuwa taifa lake linatarajia majibu ya msingi kutokana na kupotea kwa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi ambaye mara ya mwisho alikuwa katika ubalozi wa Saudi nchini Uturuk Katika mazungumzo yake kwa njia…

Kimbunga Michael kuyakumba majimbo matatu Marekani

Takriban watu nusu milioni wanatakiwa kuondoka haraka katika makazi yao eneo la kusini mashariki mwa Marekani ili kukupisha kimbunga Michael ambacho kinakaribia kulikumba eneo hilo. Taarifa za watabiri wa hali ya hewa zinasema kimbuka hicho kwa sasa kimekwisha ingia katika…

Polisi aiba bandarini

*CCTV Camera alizofunga Injinia Kakoko zamuumbua *Tukio lake lazua tafrani kubwa, IGP Sirro alishuhudia *Bandari sasa kama Ulaya, imefungwa kamera 486 *Polisi wafanya mbinu kumtetea mwenzao, wagonga mwamba Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Mfumo mpya wa ulinzi aliouanzisha katika…