JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bilioni 3 zatumika kukamilisha ujenzi wa hospitali Bagamoyo

Na Lookman Miraji. Mkoa wa pwani licha ya kuwa na maboresho makubwa katika suala zima la miundombinu na huduma nyingine za kijamii, bado mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa huduma mbalimbali za kijamii. Kupitia hospitali inayojengwa katika maeneo ya Kiromo…

Sekta ya Madini yachangia asilimia 10.1 Pato la Taifa

Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025 *Mavunde awashukuru watendaji, watumishi na wadau * NA Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini hapa nchini imepiga…

Makamu wa Rais afungua mkutano wa utalii wa vyakula

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wadau wa utalii wa vyakula kuwekeza zaidi katika kuandika vitabu vya vyakula vya Kiafrika na machapisho ya kuandaa mapishi ili kuongeza ujuzi na kupunguza…

Upinzani Uturuki waitisha maandamano nje ya bunge

Upinzani nchini Uturuki, umewataka wafuasi wake kukusanyika nje ya majengo ya bunge mjini Ankara leo Jumatano, kupinga marufuku iliyotangazwa rasmi dhidi ya mikusanyiko. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha CHP, Ozgur Ozel, amesema atahutubia nje ya bunge wakati nchi…

Mwili wa Papa Francis wawasili Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro

Mwili wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis umehamishwa hadi kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro ambapo maelfu ya watu watapata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa muda wa siku tatu. Ni kwa nyimbo za ibada huku…