JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Tunamuadhimisha Mwalimu Nyerere kwa Tanzania hii?

Majuzi tulikuwa tunakumbuka kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tulikuwa na kumbukizi ya mambo mengi sana juu ya nchi yetu na falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea, falsafa ya uhuru ni kazi na haki ya kila raia katika nchi hii,…

Tunaenzi uamuzi wa busara wa Mwl. Nyerere? 

“Mwanangu Julius, ualimu na siasa havipatani hata kidogo, fuata oni langu, uache kabisa mambo ya siasa na uzingatie kazi yako ya ualimu.” Kauli hii ilitamkwa na Padri Mkuu wa Shule ya St. Francis’ College, Mwakanga, Pugu (sasa ni Pugu Sekondari,…

NANI KAMA NYERERE?

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Tanzania) Chuo Kikuu cha Ufilipino (Ufilipino) Chuo Kikuu cha Manila (Ufilipino) Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda) Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Tanzania) Chuo Kikuu cha Claremont (Marekani) Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Tanzania)…

Werrason alivyoitosa Wenge Musica

Na Moshy Kiyungi   Mwanamuziki, Noel Ngiama Makanda ‘Werrason’, aliamua kuikacha bendi yake ya Wenge Musica BCBG, akaamua kuunda kikosi chake cha Wenge Musica Maison Mere. Amejizolea sifa lukuki kufuatia ubunifu alionao na tabia yake ya ukuzaji wa vipaji pamoja na…

Samatta mguu sawa!

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Ally Samatta, amekuwa lulu kwa klabu tatu za nchini Uingereza. Samatta yuko mguu sawa akisubiri Everton wazidi ‘kujikoki’. Tetesi zinasema nyota huyo anasakwa na West Ham United – ‘Wagonga Nyundo…

Msimbazi ni majonzi

Wanachama na wapenzi wa Klabu ya Soka ya Simba ya Dar es Salaam, pamoja na wapenzi wa soka ndani na nje ya nchi wako kwenye majonzi makubwa baada ya kutekwa kwa mfadhili na mwekezaji mkuu wa klabu hiyo, Mohammed Dewji…