JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wanaume washirikishwe uzazi wa mpango

Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, utoaji wa mimba zisizopangwa na uzazi usiofuata kanuni za uzazi wa mpango umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Matumizi hayo ya njia za uzazi wa mpango yameleta…

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (3)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa aya iliyosema; Pamoja na Rais Kenyatta kushinikizwa amkamate (Raila Odinga) kwa uhaini, alimtafuta kwa faragha na kuunda naye ushirika ambao unaonekana kuileta pamoja Kenya, ilikuwa inaelekea kutumbukia tena katika machafuko.  Maafikiano haya yamezaa ‘utakatifu’ ambao…

Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (1)

Waza au fikiri kwa kutumia picha kubwa. Ukiwaza kwa kutumia picha kubwa ni sawa na kuitabiri kesho. Kuiona kesho wakati bado unaishi leo. Watu waliofanikiwa wanajiona baada ya miaka mitano au kumi watakuwa wapi. Je, wewe umewahi kujiuliza tarehe kama…

Ndugu Rais ni nani anaiona kesho yao?

Ndugu Rais, katika kurasa za mwanzo za kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu imeandikwa, ‘’Kila kaya iache kibatali chake kikiwaka. Tumelishauri  jua lisitokee mpaka nchi itakaporudishwa kwa wananchi. Nenda katangaze neno hili. Usinitaje, kwaheri!’’ Kila tusomapo maandiko haya hutulia na…

Canada yarasmisha bangi, waishiwa

Wiki iliyopita imekuwa ya kihistoria nchini Canada, kwani serikali ya nchi hiyo baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye imefikia uamuzi wa kuruhusu matumizi binafsi ya bangi kwa watu wake. Maduka yalianza kuuza bangi saa 06:01 usiku wa kuamkia…

Bodi ya wakurugenzi yaisafisha UCC

Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta (UCC), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ikiongozwa na Profesa Makenya Maboko, imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za wafanyakazi zaidi ya 30 wa kituo hicho wanaomtuhumu Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Ellinami Minja…