JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwanamke usipuuze maumivu ya kiuno, mgongo yasiyokoma

Wiki iliyopita nilipokea ujumbe mfupi kwa njia ya simu kutoka kwa Rose (si jina lake halisi), mmoja wa wasomaji wangu wa safu hii ukisema hivi: “Samahani daktari, mwaka mmoja uliopita nilipimwa na kugundulika kuwa nina uvimbe kwenye ovari ya kushoto….

Kucheleweshwa mbolea kulivyoathiri mazao

Wakati Rais John Magufuli akisisitiza mara kadhaa kwamba serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaokabiliwa na njaa, mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mazao yameharibika kutokana na mbolea za kukuzia kutofika kwa wakati kwa wakulima. Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa serikali…

Ndugu Rais karibu mezani

Ndugu Rais, Bwana Yesu alipoona saa yake imekaribia aliwaambia wanafunzi wake waandae meza apate kula nao chakula cha mwisho. Angeweza kuwaaga kwa namna nyingine yoyote, lakini aliandaa meza. Namshukuru Mungu kuniwezesha kuingia katika chumba ilipoandaliwa meza kwa ajili ya chakula…

Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka

Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu…

MAISHA NI MTIHANI (2)

Kutawala ulimi ni mtihani. Unapofungua mdomo kuzungumza ni kama unawafungulia watu albamu ya maisha yako, nao huo ni mtihani. Wataalamu wa mawasiliano wanatwambia kuwa mtu wa kawaida kwa wastani kwa siku anaweza kusema maneno ambayo yatajaa kurasa 20 zenye nafasi ya…

Nchi haiwezi kuendelea kwa kupangiana muda wa kulala

Napongeza uamuzi wa kutazamwa upya msimamo wa safari za usiku kwa magari, hasa mabasi. Uamuzi wa kuzuia mabasi kusafirisha abiria usiku ulitolewa wakati wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Pili kama suluhisho la ajali za mabasi kwa nyakati hizo….