JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Microchip yageuka gumzo Kenya

Baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha taarifa kuwa mfanyabiashara, Mohamed Dewji, maarufu kama ‘Mo’ alikuwa na microchip mwilini iliyorekodi taarifa zote za watekaji, matajiri na wafanyabiashara nchini Kenya wameanza juhudi za kuwekewa teknolojia hiyo, JAMHURI limefahamishwa. Wengi wa matajiri wameona…

Hongera RC Mtaka

Mkuu wa Mkoa (RC) wa Simiyu, Anthony Mtaka, ametoa msimamo wa namna alivyodhamiria kuubadilisha mkoa huo ili uendane na ‘Tanzania ya Viwanda.’ Kabla na baada ya kusifiwa na Rais John Magufuli, aliyemtaja kama RC bora nchini, Mtaka ameendelea kuonyesha maono…

Kamati ya Bunge itimize wajibu

Wiki hii Bunge la 11 linakutana jijini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na vikao vyake kama ilivyo ada. Pamoja na changamoto za hapa na pale katika maisha ya Mtanzania, naamini bado Watanzania wanayo imani na Bunge hili. Kamati ya Kudumu…

Kiongozi wa upinzani afungwa jela maisha

Kiongozi wa upinzani nchini Bahrain, Sheikh Ali Salman, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufaa kumkuta na hatia ya kuipeleleza nchi hiyo kwa niaba ya nchi ya Qatar. Hukumu hiyo inakuja miezi michache baada ya mahakama ya…

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (5)

Wiki iliyopita tuliishia katika eneo linaloonyesha kuwa nchini Tanzania hakuna chama kinachoweza kuunda muungano na kikasimamisha mgombea kama walivyotaka wanasiasa wa upinzani mwaka 2015 kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Kwa Kenya, hili linawezekana. Wamelifanya mara kadhaa na limekuwa…

Je, maumivu ya titi ni saratani?

Nakukumbusha tu msomaji wa safu hii kuwa mwezi Oktoba huadhimishwa kwa kuinua uelewa kuhusu saratani ya titi. Hii ni kutokana na kalenda ya magonjwa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya afya (WHO) kwa lengo la si tu kuinua…