JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ahadi ni ukweli na maendeleo

Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote. Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko. Hizi ni ahadi tatu kati ya kumi za mwanachama wa TANU.  Ukizitazama kwa…

Kampeni za Makonda na chenga ya Dk. Mahiga

Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, za kusaka watu ambao wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja imeibua mjadala mkali wa sheria, tabia, na tafsiri ya vyote viwili. Sheria iko wazi: Ni kosa la jinai kujihusisha…

Kufidiwa hasara

Mtu anaweza kukusababishia hasara katika namna nyingi na katika mazingira tofauti. Mathalani, mtu anaweza kukwangua gari lako, unaweza kumpa mtu kifaa kama pikipiki alete hesabu, badala yake si tu ukashindwa kupata pesa, bali pia na hicho kifaa akaharibu. Mwingine anaweza…

Sanchez anatia huruma

Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza raia wa Chile, Alexis Sanchez, mwenye umri wa miaka 29, anatajwa kutaka kuachana na klabu hiyo ikiwa ni chini ya mwaka mmoja tu tangu ajiunge nayo akitokea Klabu ya Arsenal. Septemba mwaka…

Benki yaibia wateja

Maofisa wa Bank of Africa (BOA) jijini Dar es Salaam wanadaiwa kughushi hati ya ardhi Na. 55709, Kitalu ‘C’, Ukonga Stakishari ya Jimmy Mwalugelo (68), mkazi wa eneo hilo na kuitumia kumkopesha mtu mwingine Sh milioni 500. Hati hiyo iliyoghushiwa…

Polisi aiba, aumbuliwa

Askari Polisi wa Wilaya ya Kinondoni amefanya uporaji kwenye ofisi za kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam. Oktoba 3, mwaka huu saa tatu usiku, askari aliyefahamika kwa jina moja tu la Shuka, akiwa na wenzake…