JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (6)

Wiki iliyopita makala hii iliishia kwa kusema wawili hao (Ruto na Waigui) wanahaha kusafisha majina yao, huku Rais Kenyatta akiwa kimya. Jambo jingine linalomtia tumbo joto (Ruto) ni kitendo cha Odinga kujipenyeza kwenye Mkoa wa Bonde la Ufa, ambao ni ngome…

Tumejipanga kuvuka nje ya mipaka

Mwezi huu, Novemba 5, 2018 Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli ilitimiza miaka mitatu madarakani. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Sam Kamanga, amesema Rais Magufuli amesaidia kufufua shirika hilo. Katika mahojiano na JAMHURI,…

Ngorongoro: Haijapata kutokea

MAELEZO YA MHIFADHI MKUU NCAA,  DK. FREDY MANONGI Ngorongoro ya miaka mitatu Ukiangalia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na eneo lenyewe kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, mabadiliko yaliyoonekana ni makubwa kuliko kipindi chote eneo hili lilipoanzishwa mwaka 1959. Mabadiliko…

Rais Magufuli ameimarisha Bandari – Kakoko (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia katika eneo ambalo Mkurugenzi Mkuu, Injinia Deusdedith Kakoko, alisema kila mkurugenzi na meneja wa ngazi yoyote anayefanya kazi Bandari amepewa malengo ya kutimiza. Lengo kuu ni kukusanya Sh trilioni 1 katika mwaka huu wa fedha….

MAISHA NI MTIHANI (3)

Majaribu ni mtihani. Kumbuka kuwa bahari shwari haitoi wanamaji stadi. Watu wema wamefinyangwa na mitihani ya maisha yenye sura mbaya. Nakubaliana na Matshona aliyesema: “Roho zenye urembo zinafinyangwa na mapito yenye sura mbaya.” Wakati mwingine tunawajua watu wenye majina makubwa…

Maisha bila changamoto hayanogi (2)

Maisha bila maadui hayanogi. Maadui katika maisha ni kama viungo kwenye mboga, wanayanogesha maisha. Wanayapamba maisha ili yavutie, maadui wanakufanya umtafute na kumkumbuka Mungu usiku na mchana. Kama una maadui wewe ni wa kupongezwa na kama hauna maadui jitafakari upya….