JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kazi si balaa, kazi ni baraka 

Binadamu anaposhirikiana na binadamu wenzake katika kufanya kazi huwa hana budi kutimiza mambo matatu; wajibu, uwezo na kujituma. Anapotimiza haya hupata maendeleo yake na ya wenzake.  Hii ni moja ya taratibu za binadamu katika kufanya kazi. Watanzania hatuko nje ya utaratibu huu….

Yah: Adha ya mlalahoi wa Kitanzania

Nichukue fursa hii kutoa salamu zangu za dhati kwa mtu ambaye alikuwa akijulikana kwa jina la mlalahoi miaka michache baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini. Jina hili tulipewa kundi fulani na wanasiasa wetu kwa lengo…

Ndugu Rais njia yetu ni moja

Ndugu Rais, imeandikwa kuwa mwanadamu ni mavumbi. Mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi! Ulitoka kwa udongo na utarudi kwa udongo! Kati yetu sisi wote hakuna atakayekufa halafu jeneza lake lihifadhiwe dalini au juu ya mti kama mzinga wa nyuki. Haijalishi litakuwa…

DAWASA yaongeza mapato

Rais Dk. John Magufuli ametimiza miaka mitatu madarakani. Katika kipindi hiki taasisi kadhaa za serikali zimekuwa zikielezea mafanikio yaliyopatikana katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika kutekeleza azima ya kuelezea kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu…

Haki za watoto hazilindwi inavyostahili

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watoto. Kihistoria ni siku iliyoanza kuadhimishwa tangu karne ya 18, lakini sasa inatambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa. Ni siku inayopewa jina la watoto, lakini ukweli ni siku ya watu wazima kutafakari iwapo wanasimamia…

Sheria inapomtambua mvamizi wa ardhi

Ni muhimu kutahadharishana kuhusu jambo hili. Kitaalamu jambo hili huitwa ‘adverse possession.’ Ni kanuni ya kisheria. Ni wakati ambapo mtu au watu wanavamia ardhi yako, lakini baada ya muda wanahesabika kuwa ni wamiliki halali. Na wanatambuliwa hivyo na sheria na…