Latest Posts
Wadau wapongeza sera ya kuwawezesha wazawa kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imesema kuwa mchakato wa kutengeneza rasimu ya Sera ya kuwawezesha wazawa (Local Content) kushiriki katika shughuli mbalimbali za kiuchumi kupitia sekta mbalimbali mtambuka utasaidia kujenga uchumi wa nchi pindi utakapokamilika. Akizungumza wakati wa…
Rais Samia apeleka neema Tabora
📌Aidhinisha Bilioni 19 kusambaza umeme vitongojini 📌Kaya 5,940 kutoka katika Vitongoji 180 kunufaika Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 19 wa kusambaza umeme katika vitongoji 180 utakaonufaisha Kaya 5,940 Mkoani Tabora. Hayo yameelezwa na Msimamizi wa…
Israel yaendeleza mashambulizi katika mji wa Beirut
ISRAEL imeendeleza na mashambulizi yake ya makombora kwenye eneo la kusini la mji mkuu wa Lebanon, Beirut, mapema leo likiwemo eneo lililo karibu na uwanja wa ndege wa pekee wa kimataifa wa Lebanon. Israel iliendeleza na mashambulizi yake ya makombora…
Trump hatakuwa katika Ikulu ya White House kwa siku 74
Wakati Donald Trump amepata ushindi unaomrejesha Ikulu ya White House, bado si rais rasmi – na itachukua zaidi ya miezi miwili kabla ya kurejea katika Ofisi ya Oval. Makabidhiano ya madaraka ya Marekani ni tofauti sana na jinsi mambo yanavyofanyika…
Makalla ampongeza Lissu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM-NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amempongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kwa kuwa muwazi kusema kuwa hawawezi kusimamisha wagombe kila kijiji, mtaa na…
Bongo Movie kugusa jamii ya saratani
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tasnia ya filamu nchini kupitia kampuni ya uandaji filamu ya Allan Cultural group (ACG) imedhamiria kutoa elimu ya saratani kupitia fani sanaa. Hatua hiyo imekuja mara baada ya kampuni hiyo kutangaza rasmi ujio…