JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwendokasi wa magari sasa ujangili mpya Hifadhi ya Taifa Mikumi

Umewahi kuendesha gari katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na ukamgonga mnyama yeyote ndani ya hifadhi? Unakumbuka kama ulilipa faini za kumgonga mnyama? Basi kwa taarifa yako magari ndiyo yamekuwa majangili wapya katika hifadhi hiyo. Wakati Shirika la Hifadhi za…

TPA: Tunamjibu mteja ndani ya dakika 3

Bandari ni lango kuu la biashara kwa Tanzania na nchi zote zinazotumia bandari zetu hususan Bandari ya Dar es Salaam ambazo; ni Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, Sudan Kusini na Comoro. Tunapoanza mwaka 2019,…

Ndugu Rais ili tupite salama lazima tubadilike kifikra

Ndugu Rais, hivi karibuni wengi wamekuwa na shamrashamra, vifijo na nderemo huku wakiuaga mwaka 2018 na huku wakiushangilia mwaka 2019. Wanasema ni upendeleo wamepewa kuufikia mwaka 2019 kwa sababu wengi walitamani kuufikia, lakini hawakuweza. Tunajiuliza ni wakati gani waliwauliza hao…

Kuporomoka maadili nani alaumiwe?

Nimesukumwa kuandika makala hii kwa ukweli kwamba hatuwezi kujenga taifa lenye maadili mema pasipo familia zenye maadili mema. Siku moja nilipita katika mtaa fulani nikakuta majibizano ya ajabu kati ya mtoto na mzazi, nilishangaa sana. Ustawi wa taifa unaanzia nyumbani….

MAISHA NI MTIHANI (11)

Urafiki ni mtihani. “Katika mafanikio marafiki zetu wanatujua; katika shida tunawajua,” alisema John C. Collins. Mtu akifanikiwa anawakwepa baadhi ya marafiki, lakini akiwa na shida baadhi ya marafiki wanamkwepa. Urafiki ni mtihani. Msemo wa “biashara haina urafiki” unabainisha kuwa urafiki…

Wavamizi hawa si wa kuchekewa

Nimesoma tamko la serikali linalohusu uamuzi ‘mgumu’ ilioamua kuuchukua dhidi ya wavamizi wa hifadhi mkoani Kigoma. Tathmini iliyofanyika mkoani humo imeonyesha hifadhi za misitu na mapori ya akiba yamevamiwa kwa shughuli za kilimo, ufugaji, ukataji miti na baadhi ya vijiji…