JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wazanzibari kutibiwa bure

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema serikali hiyo imekusudia kuendelea kutoa matibabu bure kwa wakazi wote wa Unguja na Pemba. Amesema mafanikio hayo yanatokana na juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

‘Manabii’ wa kangomba wasakwe, waadhibiwe

Mwangwi wa kilio cha wakulima wa korosho unazidi kusikika pande zote za nchi. Idadi kubwa ya wanafunzi wamekwama kwenda shuleni. Wale waliofaulu darasa la saba wameshindwa kuripoti shule za sekondari kwa ukosefu wa nguo na vifaa vya masomo. Hata wale…

Nina ndoto (2)

Ukiona ndoto yako haiwatishi watu, jua kwamba ni ya kawaida sana. Ndoto ya kwanza ya Yusufu iliwatisha ndugu zake. Ndoto yake ya pili si kwamba iliwatisha ndugu zake tu, bali ilimtisha hadi baba yake, Yakobo. Tunaambiwa siku moja ndugu zake…

Historia ya kusisimua ya binadamu Olduvai

Kufikia miaka milioni 1.5 iliyopita kulikuwa na ongezeko kubwa la tabia ya kuua wanyama wakubwa kama inavyoonekana kwenye maeneo mbalimbali ya malikale. Hali kama hii inaonekana pia katika maeneo mbalimbali ya Bonde la Olduvai. Uuaji wa tembo, twiga, viboko, faru…

Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara (2)

Aya mbili za mwisho za makala hii wiki iliyopita zilisomeka hivi: “Makala hii itakuwa ndefu kidogo. Leo nimeanza na utangulizi. Wiki ijayo, nitaeleza umuhimu wa kujenga wafanyabiashara wazawa. China ilifanya uamuzi huo mwaka 1979 kwa maelekezo ya Deng Xiaoping. Marekani…

Bandari: Usipokee gari bila nyaraka hizi

Baada ya kuelezea njia za kutoa gari bandarini katika makala zilizotangulia kwa nia ya kuepuka usumbufu na kupata uhalali wa gari lako, leo tunakueleza kuhusu nyaraka muhimu unazopaswa kupewa na wakala wako anapokukabidhi gari uliloagiza nje ya nchi na likapitia…