JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Historia ya Sikukuu ya Valentine’s Day (3)

Wiki iliyopita katika makala hii inayomhusu mwasisi wa Siku ya Wapendanao, Mtakatifu Valentino, iliishia pale ambapo katika kila barua aliyokuwa anaandika aliweka maneno  “Ndimi Valentino wako.” Maneno hayo yakawa ni kielelezo cha upendo wa Mtakatifu Valentino kwa watu wote kuwa…

MAISHA NI MTIHANI (16)

Mwanzo ni mtihani, mwanzo mgumu, lakini lisilowezekana linawezekana. Mwanzo wa ngoma ni lele, mambo yote makubwa huanzia madogo. Mwandishi wa vitabu vya hadithi wa Uingereza, John Creasy, alipata barua 753 za kukataa kuchapisha vitabu vyake na wachapishaji wa vitabu kabla…

Nani katuloga?

Wiki iliyopita Kampuni ya Mwananchi ilifanya jambo la maana sana. Iliandaa mjadala muhimu sana uliohusu athari za biashara na matumizi ya mkaa nchini. Nasikitika kutoshiriki mjadala huo. Hizi picha zinazoonekana hapa nilizipata wiki mbili zilizopita bila kujua kungekuwapo mjadala wa…

Hekima na busara zitawale wasanii (2)

Siti alikuwa maskini wa sura lakini tajiri wa sauti. Alikuwa kinanda Afrika Mashariki na watu wakampenda. Alikuwa na kinywa cha mbubujiko mkubwa wa muziki. Alighani katika taarabu kwa miaka thelathini. Alitumia ulimi wake kuvuta walio mbali kumsikiliza na wa karibu…

Yah: Tanzania ilikuwa nyumba ya amani Afrika

Nimekumbuka kuna siku nilisikia kwamba vita ya uchumi sasa hivi ni kubwa na inapiganwa sana duniani baina ya nchi na nchi, vita hii ina lengo la kumiliki njia za uchumi kwa mataifa mbalimbali ili kuweza kuendelea kwa mataifa machache na…

Yanga yaweka ubingwa rehani

Na Khalif Mwenyeheri Yanga imeshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni na kuifanya timu hiyo kupunguza nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), hali hiyo inawafanya Yanga kuwa na kazi kubwa ya kufukuzia ubingwa. Katika…