JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Zakaria amkaanga Luoga

Siku kadhaa baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, mfanyabiashara maarufu, Peter Zakaria, ambaye yuko mahabusu ameibua mambo mapya yanayomhusu Luoga. Zakaria ambaye amezungumza na Gazeti la JAMHURI kupitia kwa msemaji…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (1)

Wiki iliyopita nimehitimisha makala iliyokuwa ikiwasihi Rais John Magufuli na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, kujenga wafanyabiashara nchini. Nimeandika makala hii katika matoleo matano yaliyopita, na nashukuru tayari maandishi yangu yamezaa matunda. Nilianza kuandika makala hizi baada ya Rais…

Ukiona dalili hizi za saratani muone daktari

Saratani ni muunganiko wa magonjwa ambayo mara zote husababishwa na uzalishwaji wa seli za mwili kupita kiasi kinachohitajika mwilini, na seli hizo huendelea kujigawa kupita kiasi na kutengeneza kiasi kikubwa kuliko mwili unavyoweza kuhimili. Ukuaji huu wa seli hizi unaweza kusababisha vimbe…

Mkaa unaotunza misitu, kuleta neema Kilosa

Hifadhi ya Taifa ya Mikumi imepakana na vijiji 19, Kijiji cha Ihombwe kilichoko Kata ya Mikumi, wilayani Kilosa kinajivunia mradi wa mkaa endelevu uliopo kijijini hapo. Ni kupitia mradi huo kijiji kimefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 40 wanaofanya…

Uwekezaji Sao Hill ni tija kwa taifa

Namshukuru Mwenyezi Mungu kupata fursa hii kufafanua juu ya uwekezaji kwenye mashamba ya miti. Kama tunavyofahamu, misitu ni rasilimali muhimu kwa uhai wetu na viumbe wengine. Hata hivyo, wengi wanaiona misitu kama chanzo cha kupata mbao, magogo, nguzo, mkaa na…

Ndugu Rais tulee katika njia ifaayo nasi hatutaiacha

Ndugu Rais, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa mimi si mwanasiasa. Sijawahi kujiunga na chama chochote cha kisiasa tangu kuzaliwa kwangu. Na nitabaki hivi nilivyo. Nitaisema kweli kwa ajili ya amani ya nchi yangu na kwa ajili ya ustawi wa Watanzania…