JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndugu Rais 2020 mikononi mwako tunaziweka roho zetu

Ndugu Rais, dunia nzima hivi sasa imesukwa kwa mitandao. Hii haikwepeki. Imeyafanya yanayotendeka katika nchi zetu hizi yasiwe siri tena. Kila kitu kinaanikwa. Katika siku za hivi karibuni habari zetu nyingi zimeijaza mitandao mingi. Ukitaka kujua habari zetu za kutusifia…

Biashara ya mkaa na mazingira Tanzania

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uhai mpaka tukapata fursa ya  kubadilishana mawazo juu ya umuhimu wa mkaa na athari zake kwa mazingira. Vilevile  napongeza sana menejimenti ya Mwananchi Communications Limited na ITV/Radio One  chini ya IPP Media;…

Mradi wa maji Ibwera ‘sokomoko’

Ibwera ni kata iliyoko katika Tarafa ya Katerero, Wilaya ya Bukoba Vijijini. Sehemu hiyo si kame sana ukilinganisha na sehemu nyingine zenye ukame hapa nchini. Ina mito ya kutosha na imezungukwa na maziwa mengi madogomadogo ambayo yanaipa sifa ya kutoonekana…

Tanzania bila itikadi inawezekana?

Nimewahi kujenga hoja kuwa Mtanzania anaposhiriki kwenye uchaguzi haongozwi na msimamo wa kiitikadi wa chama chake cha siasa, bali na masuala mengine ambayo hayapewi uzito na wachambuzi. Si vigumu kuamini kama nilivyoamini unaposhuhudia mara kwa mara wanachama kuhama chama kimoja…

Mambo muhimu mkataba wa ajira unapovunjwa

Mkataba  wa  ajira  ni  sawa  na  mikataba  mingine.  Huingiwa  kwa  hiari  ya  wahusika  na  wahusika hao hao  waweza  kuondoka  katika  mkataba  huo kwa  hiari  zao.  Tuzungumzie mwajiri  kuamua  kujitoa  katika  mkataba  wa  ajira. Mwajiri  anaweza  kujitoa  katika  mkataba  wa  ajira….

MAISHA NI MTIHANI (17)

Hofu ni mtihani. Kuna aliyesema: “Hofu ina maana mbili: sahau kila kitu na kimbia; maana ya pili, kabili kila kitu uinuke.” Huenda ilipo hofu ndipo palipo mafanikio yako. “Kila kitu unachohitaji kiko upande wa hofu,” alisema Jack Canfield. Mara nyingi…