Latest Posts
Wahariri watakia kupambana na magonjwa ya moyo, JKCI yaeleza vyanzo vya magonjwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wahariri wa vyombo vya habari nchini wametakiwa kuchukua hatua katika kupambana na magonjwa ya moyo ikiwa ni pamoja na kula vyakula bora, kufanya mazoezi na kutokunywa pombe kupitiliza. Rai hiyo imetolewa leo jijini…
Shekalage : Kuweni waadilifu, wawazi, nidhamu na pesa za wafadhili
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Dr Seif Shekalage amezitaka asasi za kiraia nchini kuwa waadilifu, wawazi wenye nidhamu ya pesa zinazotolewa na wafadhili kwa ajili ya usimamizi wa…
Ukraine yapokea miili ya wanajeshi 563
Serikali ya Ukraine imethibisha kupokea miili ya wanajeshi 563 kutoka kwa mamlaka ya Urusi ambao wengi wao ni wanajeshi waliouawa katika mapigano katika eneo la mashariki la Donetsk. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa hii leo imesema kuwa miili mingine…
Hezbollah kulipiza mashambulizi
Hezbollah imetangaza kurusha makombora katika kambi ya Jeshi la Wanamaji la Israel na uwanja wa ndege wa kijeshi karibu na mji wa Haifa kwa mara ya pili katika muda wa chini ya saa 24, huku kukiwa na makabiliano ya wazi…
Wagombea hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi ndani ya siku 2…
Wahariri na waandishi wa habari watakiwa kuweka maazimio ya kukuza taaluma
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wahariri na Waandishi wa habari nchini,wametakiwa kuweka maazimio machache yatakayokwenda kufanyiwa kazi kama sehemu ya kukuza taaluma ya habari eneo la weledi. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Katibu mkuu Wizara ya Habari Mawasiliano…