JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndugu Rais nitupeni mimi

Ndugu Rais, maandiko yanasema watu walikuwa wanasafiri katika chombo baharini. Chombo kilisheheni mizigo mingi, lakini kilienda bila tatizo. Kilipofika katikati ya bahari chombo kikaonekana kulemewa na mizigo. Kikaanza kuzama. Abiria wakapatwa na mfadhaiko wakaamua kuitupa mizigo baharini, lakini chombo kiliendea…

Kiongozi anao wajibu kuelimisha anaowaongoza

Miongoni mwa wajibu wa kiongozi ni kuelimisha anaowaongoza. Anapata fursa nyingi zaidi za kujielimisha na anao wajibu wa kutawanya elimu hiyo kwa wengine. Hiyo elimu inahitajika sana kwenye uanaharakati. Naamini hivi kwa sababu lipo kundi kubwa la watu linaingizwa kwenye…

Utaratibu wa kusajili day care

Badala ya kuendesha shule za kulea watoto kinyemela huko mitaani, makala hii itakueleza namna ambavyo unaweza kusajili, hivyo ukaendesha shughuli hii kihalali. Ifahamike kuwa ni kosa la jinai kuendesha kituo au shule ya kulea watoto  bila usajili. Kanuni ya 4(1)…

Demokrasia Tanzania imetundikwa msalabani (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo ilionyesha kwamba Tanzania ni yetu, wa kuiua ni sisi wenyewe na wa kuijenga ni sisi wenyewe. Maisha yana ladha pale tu tunapotofautiana mitazamo, sasa endelea … Maisha hayawezi kuwa na ladha kama mitazamo yetu…

MAISHA NI MTIHANI (18)

Upendo ni mtihani, palipo na husuda, hakuna upendo. Palipo na chuki hakuna upendo. Palipo na umbea hakuna upendo. Maneno kwenye kanga za kina mama yanabainisha upendo ni mtihani. Chokochoko za jirani hazinitoi ndani, mtamaliza visigino kwa safari za umbea. Hunilishi,…

Kufungwa Malkia wa Tembo si mwisho wa ujangili

Malkia wa Tembo amefungwa jela miaka 15. Hii ni habari njema kwa wahifadhi. Sijasikia wanaobeza hukumu hiyo, japo wapo wanaoona ni ndogo ikilinganishwa na tembo 430 waliotoweka kutokana na mwongozo wake. Kwenye kesi hii waliofungwa ni wawili. Huu ni “utani”….