JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tuongeze uwekezaji elimu

Kwa muda sasa tunapata taarifa kutoka sehemu mbalimbali za nchi juu ya uhaba wa vyumba vya madarasa kwa watoto walioshinda mtihani wa darasa la saba kwenda kidato cha kwanza mwaka 2018. Malalamiko ya ukosefu wa vyumba vya madarasa yameanza kujitokeza…

NINA NDOTO (8)

‘Tumezaliwa kwa ajili ya wengine’   Hapo zamani za kale kulikuwa na mkulima aliyenunua vibuyu viwili vya kutekea maji. Baadaye alikuja kugundua kwamba kibuyu kimoja kilikuwa kimetoboka sehemu ya chini. Mkulima huyo alizoea kutekea vibuyu hivyo maji kutoka mtoni na…

Wananchi walilia fidia mradi wa umeme

Wananchi wa maeneo ya Kinyerezi, Chalinze na Tanga waliohamishwa kupisha mradi wa umeme wa North, East, Grid wa (Kv 400), wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwalipa fidia licha ya zoezi la uhakiki wa maeneo hayo kukamilika tangu mwaka 2015. Wakizungumza na Gazeti la…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (3)

Wiki iliyopita nilieleza sehemu ya pili ya taratibu za kuanzisha biashara kwa mtu yeyote mwenye nia ya kufanya hivyo hapa Tanzania. Nimeandika mwendelezo wa hatua ya kwanza ambayo ni ‘wazo la biashara’ na nikagusia hatua ya pili ambayo ni ‘eneo…

Dalili za shambulio la moyo

Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu…

Serikali yahaha Monduli, Karatu kupata maji

Miradi ya maji lazima itekelezwe kwa wakati kama serikali ilivyopanga ili wananchi wapate huduma ya maji safi na salama, na kujishughulisha na kazi nyingine za maendeleo, ikiwamo kutumia maji hayo kuongeza thamani ya bidhaa mbalimbali na kuleta maendeleo zaidi. Naibu…