JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ni kosa kisheria kudhihaki maiti

Nimeulizwa na watu wengi ikiwa agizo la Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, kuhusu kumtia mbaroni mara moja Dudubaya kwa maneno yake dhidi ya marehemu Ruge Mutahaba ikiwa ni sawa kisheria au si sawa. Ninaweka majibu…

MAISHA NI MTIHANI (19)

Kujipenda ni mtihani si ubinafsi, kujipenda si uchoyo, wala si kujipendelea, maana huwezi kumpenda mtu kama hujipendi. Kujipenda ni kujikubali, kujithamini na kujitambua. Ushahidi kuwa watu wengi hawajipendi umejaa kama hewa, mtu anaweka vikombe vizuri vya chai kwa ajili ya…

Demokrasia Tanzania imetundikwa msalabani (3)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ilipokuwa inasema baadhi ya waandishi wameamua kuisifia serikali tu. Hapana, hii si Tanzania tunayotakiwa kuijenga. Nchi ya waoga wa kuthubutu, nchi ya wanafiki, nchi ya kujipendekeza kwa watawala. Mungu alipompa malaika Lucifer cheo cha…

Tusishangilie kuua upinzani

Nichukue fursa hii kuwapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa Ruge Mutahaba, pamoja na Watanzania wote walionufaishwa na kipawa cha mzalendo huyu. Umati wa watu waliojitokeza na wanaoendelea kujitokeza kumlilia Ruge unadhihirisha wazi aina au muundo wa kibinadamu wa Ruge….

Yah: Nafasi za viongozi wasaidizi

Salamu zangu nyingi sana kama mchanga wa pwani, tena ule msafi, ziwafikie hapo mlipo, hasa nyie mlio mbali na upeo wangu wa macho. Najua mnaendelea vizuri na wengi wenu mnakumbuka mema mengi ya miaka mingi na kuyafananisha na mapya ya dunia…

Wafitini msiue nia ya wakombozi wa Afrika

Fitina na pekepeke ni tabia zinazofanana, zinazoelewana na zina nguvu ya kuvunja mipango ya maendeleo iliyopo na kubomoa mafanikio yaliyopatikana kwa gharama kubwa ya mapenzi, hisani, maarifa, nguvu, utu na umoja. Tabia hizi hazizuki mithili ya uyoga msituni, bali huandaliwa…