JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ajali ya ndege yaua abiria wote

Watu wote 157 waliokuwa safarini katika ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia,  Boeing 737, wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kuanguka. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kuelekea mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Jumapili…

Mjamzito afanya Mtihani wa Taifa, afaulu

Shule ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, mwaka jana iliruhusu mwanafunzi mjamzito kufanya mtihani wa taifa wa kuhitimu Kidato cha Nne. Mwanafunzi huyo (jina linahifadhiwa) alifanya mtihani huo kwa namba S 1437/0002 katika matokeo ya mtihani yaliyotangazwa Januari mwaka…

Wawekezaji wamchongea DC kwa Rais

Uamuzi wa wawekezaji wilayani Hai, Kilimanjaro kumshtaki mkuu wa wilaya (DC) hiyo kwa Rais John Magufuli umepongezwa na baadhi ya wafanyabiashara na kuonekana kuwa ni mwanzo wa kumaliza vitendo vya kunyanyaswa. DC wa Hai, Lengai ole Sabaya, anatuhumiwa na wawekezaji…

Maji ni kichocheo cha maendeleo

Wiki ya Maji ni fursa maalumu ya sekta ya maji nchini kujitathmini kwa kujilinganisha na nchi nyingine duniani katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya maji. Maji ni kichocheo muhimu cha maendeleo katika sekta mbalimbali za uchumi hapa nchini, ikiwemo…

Tanzania tunao wajibu wa kuziokoa Rwanda, Uganda

Fukuto la kutokea mfarakano na hata umwagaji damu linaendelea kati ya Uganda na Rwanda. Lakini pia kuna msuguano mkubwa wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Burundi. Mataifa haya matatu ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hii ina maana kwamba…

NINA NDOTO (10)

Maono humfanya dhaifu awe imara   Maono hubebwa katika vitu vitatu muhimu. Mosi, uwezo wa kuona mbele. Pili, uwezo wa  kuona kwa undani. Tatu, uwezo wa kuona nyuma. Uwezo wa kuona mbele ni sawa na kuona kwa kutumia darubini. Darubini…