JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Vigogo wahatarisha mradi mabasi ya mwendokasi

Msongamano wa abiria wanaotumia usafiri wa mabasi ya haraka jijini Dar es Salaam maarufu kama (mwendokasi) kwa kiasi kikubwa unatokana na uzito wa kufanya uamuzi miongoni mwa watendaji serikalini. Hali ya kuchelewa kufanya uamuzi inakinzana na kasi ya Rais Dk….

Huduma ya maji kumfikia kila mwananchi

Kazi zinaendelea na Wiki ya Maji 2019 imekamilika. Kitaifa Wiki ya Maji imeadhimishwa jijini Dodoma kwa wataalamu na wadau wa sekta hii muhimu kukutana na kuangalia namna bora zaidi ya kufanikisha huduma muhimu ya majisafi na salama inawafikia wananchi bila…

Ndugu Rais ni kweli Mtwara kuchelee?

Ndugu Rais, kwa urais wako nchini mwetu wewe ndiye baba wa sisi wote. Mwisho ni mwaka 2020 au mwaka 2025 au labda hata kuendelea, nani anajua? Marehemu mama yangu alikuwa ananiambia: “Umwenzo wa mtu inkama.’’ Maana yake: “Moyo wa mtu…

Tunaweza kutofautisha Ujamaa na uamuzi wa busara

Mwaka 2014 nilisafiri kwa ndege nikakaa pembeni mwa abiria raia wa Kenya, ambaye alibaini nilikuwa nikisoma kitabu kimojawapo cha hotuba za Mwalimu Nyerere. Alisema: “Nasikia Nyerere aliiharibu sana nchi kutokana na itikadi yake ya Ujamaa?” Katika umri wangu nimeshasikia kwa…

Kubadilishiwa masharti ya umiliki wa ardhi

Umiliki wa ardhi hutolewa kwa masharti maalumu. Kila aliyepewa hatimiliki anajua kuwa amepata hati hiyo kwa masharti ambayo anapaswa kuyatekeleza. Wapo ambao hudhani kuwa ukishapewa hati na masharti, basi ni hivyo hivyo tu, hauna la kufanya hata kama hujaridhika au…

Epuka kuishi maisha ya majivuno (2)

Tuepuke kuishi maisha ya majivuno. Mwandishi Nadeem Kazi anatufundisha kwamba: “Hatuwezi kupanda juu kwa kuwashusha wengine chini.” Tunapanda juu kwa kuwasaidia wengine kupanda. Katika maisha lazima pia tujifunze kuwasaidia wengine. Huwezi kufanikiwa kiroho, kiuchumi, kifamilia, kiutawala, kielimu, kimaadili na kiafya…