JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Neno la Pasaka kutoka kwa Askofu Bagonza

IJUMAA KUU – KANISA KUU LUKAJANGE 2019 MATHAYO 27: 27-31, 39-40 “Ndipo askari wa Liwali wakamchukua Yesu ndani ya Proitorio,* wakamkusanyikia kikosi kizima. Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu. Wakasokota taji ya miiba, wakaiweka juu ya kichwa chake, na mwanzi katika…

Ujenzi Ziwa Victoria wazua jambo

Mradi mkubwa wa maji unaojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) umeingia lawamani baada ya kampuni inayojenga kuanza kumwaga vifusi vya udongo ndani ya Ziwa Victoria. Hali hiyo inayodaiwa kusababisha uchafuzi wa mazingira, inalenga kujenga barabara ya…

Bodi ya Ngorongoro isifumbiwe macho

Miongoni mwa habari tulizozipa umuhimu wa juu hivi karibuni ni ile inayohusu matumizi mabaya ya fedha yanayofanywa na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlala ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebaini kuwa kwa…

NINA NDOTO (16)

Kuwa na nidhamu utimize ndoto yako Kama yalivyo muhimu mafuta kwenye gari, ndivyo ilivyo nidhamu kwa mtu yeyote mwenye ndoto. Nidhamu ni kiungo muhimu kwa mtu anayetaka kutimiza ndoto yake. Kuna aliyesema: “Nidhamu ni msingi wa maisha yenye furaha na…

Shamba la Lyamungo mali ya KNCU – Waziri

Mvutano unaoendelea kuhusu nani mmiliki halali wa shamba la kahawa la Lyamungo baina ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) na Chama cha Ushirika wa Mazao (AMCOS) cha Lyamungo unatokana na Ofisi ya Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (11)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kusema kuwa leo nitaelezea masharti na aina ya viambatanisho unavyopaswa kuweka katika kuwasilisha fomu ya maombi ya leseni. Naomba kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunipigia simu nyingi kadiri inavyowezekana na kwa kuonyesha kuwa mnatamani kupata…