Latest Posts
Mbaroni kwa wizi wa mtoto wa miezi miwili
Na Mwandish Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Anna Mwakilima (24), mkazi wa Mbuyuni, Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za wizi wa mtoto mwenye umri wa miezi miwili na nusu (jina la mtoto tunalihifadhi). Kamanda wa…
Radi yaua watano wa familia moja Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Watu watano wa familia moja katika kitongoji cha Nkangi, wilayani Chunya, mkoani Mbeya wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi kwenye kambi ya kuchunga ng’ombe wakiwa wamelala, huku wengine watano wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Madereva wazembe 16,324 wakamatwa, 14 wafungiwa leseni kipindi cha sikukuu
Na Mwandishi Wetu Kikosi cha Usalama Barabarani kimewakamata madereva 16,324 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani na kuwafungia leseni madereva 14 katika kipindi cha Sikukuu ya Krismasi. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, William Mkonda pia aliwaelekeza wakuu wa usalama…
Wasanii waendelea kumiminika JKCI ofa ya Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wasanii wameendelea kuchangamkia fursa ya kupima moyo bure katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza wakati wa uchunguzi wa moyo kwa wasanii hao jana, Mkurugenzi…
Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter afariki
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Mkulima huyo wa zamani wa karanga aliishi muda mrefu kuliko rais yeyote katika historia ambapo alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 mnamo Oktoba 2024….