JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Usiamini uwepo wa uchawi

Jamii yoyote ile ni lazima itembee katika ukweli, haki, maadili, mwanga na elimu. Hakuna jamii inayoweza kuendelea pasipo watu wake kuwa wakweli na wenye maadili na akili tafakari na akili bainifu. Hatuwezi kuendelea kutambua kwamba sisi ni wajinga na bado…

MAISHA NI MTIHANI (31)

Nyota njema huonekana pia jioni Namna ya kumaliza ni mtihani.  Hoja si namna unavyoanza, hoja ni namna unavyomaliza. “Kuanza vizuri ni jambo la kitambo; kumaliza vizuri ni suala la maisha yote,” alisema Ravi Zacharias – mtunzi wa vitabu. Mwanzo unaweza…

Sasa iwe zamu ya ‘chainsaw’

Wiki mbili zilizopita katika safu hii niliandika makala nikieleza hisia zangu kuhusu hatua ya Kenya kutupiku kwenye fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini. Siku chache baadaye, Rais John Magufuli, akawa na ziara katika mataifa matatu – Afrika…

Yah: Kiswahili ni bidhaa ya kuuza nje, walimu changamkeni

Nimeamka nikiwa na furaha sana baada ya kusikia kumbe tunatembea na bidhaa bila kujijua. Ni wachache ambao walikuwa wanajua kwamba Kiswahili ni fedha, hasa ni wale wenzetu  ambao wanatumia mitandao ya kuzunguka duniani wakiwa wamekaa katika viti vyao, sisi huku…

Tujali Polisi na Mahakama

Ni vema tukakumbuka tuna wajibu wa kujali na kuheshimu (kuthamini) vyombo vyetu vya Polisi na Mahakama, ambavyo tumeviridhia kusimamia usalama wetu na kutoa haki. Ni vyombo nyeti katika mustakabali wa maisha yetu, uhuru na amani ya taifa letu. Polisi katika…

Chungeni ndimi zenu

Mtunga Zaburi, Mfalme Daudi aonya hivi: “…Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, jeuri huwavika kama nguo, macho yao hutokeza kwa kunenepa, wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao. Hudhihaki, husimulia mabaya.  Husimulia udhalimu, kana kwamba wako juu.” Zaburi 73:6-8; Mhubiri…