JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Elimu ni mkombozi wa ulemavu wa fikra

Ulemavu wa fikra umejificha. Wakati mwingine ni vigumu kuutambua au kwa vile ulemavu huu una nguvu na unaweza kutupumbaza wote, ni jambo ambalo linachukua tafakuri na kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu. Mfano, sisi Waafrika kuwa na majina ya Kizungu na…

Umuhimu wa kujenga familia iliyo bora

Mratibu Ofisi ya CPT Taifa, Mariam Kessy, kwenye kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Nyerere aliwasilisha mada kuhusu familia. Yafuatayo ni baadhi ya yale aliyozungumza.  Familia kama msingi wa taifa na jamii, kila mmoja anakotoka na…

Ndugu Rais kama si wewe nani atawatoa watoto majalalani?

Ndugu Rais, imeandikwa; kitabu hiki cha Torati kisitoke mdomoni mwako mchana hata usiku. Nami kama Daudi nimetumwa uyatafakari maandiko tuandikayo kwa maana hayo yataifanikisha njia yako kwa kuwa yatakustawisha! Ndugu Rais, kama si wewe baba, ni nani atawatoa jalalani watoto…

Kuwapo madini Tanzania ni baraka au laana?

Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenijalia kuandika makala hii na kuchapishwa katika gazeti hili mahiri ili kuelimisha na kuwajuza Watanzania nini kinajiri katika sekta ya madini. Tanzania imejaliwa kuwa na rasilimali asilia ikiwemo ardhi, madini, misitu, wanyamapori, maji chumvi/maji baridi, samaki na viumbe hai…

Ukweli japo wa mbaya wako ni ukweli

Siamini yupo binadamu anayekubali kwa hiari kuvumilia ubaguzi wa aina yoyote; kwa hiyo tunaposikia matamshi au kushuhudia vitendo tunavyohisi kuwa vya kibaguzi vinatuamshia mara moja hisia ya kujihami na hata kurejesha mashambulizi. Nilikuwa abiria kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…

Huwezi kukopa kwa dhamana ya kiwanja, shamba lisiloendelezwa

Wiki iliyopita niliandika kuwa ujenzi wa uzio (fensi) pekee kwenye kiwanja si uendelezaji halisi kwa mujibu wa kanuni mpya za sheria ya ardhi tofauti na tulivyozoea. Leo tena tunatazama sehemu ya (iii) Kanuni ya saba ya kanuni mpya, kanuni za…