JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kero hizi zitatuliwe

Ijumaa iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dk. John Magufuli, alikutana na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni wafanyabiashara kutoka mikoa yote nchini. Katika mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni, jijini Dar es Salaam kwa saa zaidi…

Watano wafukuzwa kazi Benki ya Ushirika

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imewafukuza kazi maofisa wake watano akiwamo Meneja Mkuu wa benki hiyo, Joseph Kingazi, kwa tuhuma za kuhusika katika ufisadi wa mabilioni ya fedha. Maofisa wengine wa benki hiyo waliofukuzwa kazi…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (17)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa kueleza taratibu na kiwango cha kodi wanachopaswa kulipa wafanyabiashara wanaofanya biashara yenye thamani zaidi ya Sh milioni 20. Niliahidi kueleza taratibu za jinsi ya kutunza kumbukumbu na muda wa mtu kuwasilisha marejesho yake ya…

Kashfa ya vipodozi Kamal Group

Kampuni ya Kamal Group inayomiliki kiwanda cha kuzalisha nondo cha Kamal Steel inatuhumiwa ‘kupoka’ vipodozi vyenye thamani ya Sh milioni 109 mali ya Barbanas Joseph, mkazi wa Dar es Salaam. Jengo la ghorofa tisa mali ya Kampuni ya Kamal lililopo…

Caspian, Tancoal zavunja mkataba

Kampuni ya Tancoal inayochimba makaa ya mawe wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma imekubali kuilipa Kampuni ya Caspian shilingi bilioni 18.4 na kuvunja mkataba baada ya fedha hizo kuzuiliwa miaka miwili kutokana na utata wa kimasilahi. Uchunguzi uliofanywa na Gazeti la JAMHURI…

TPA: Mteja ni mfalme

Bandari ni lango kuu la biashara kwa Tanzania na nchi zote zinazotumia bandari zetu hususan Bandari ya Dar es Salaam ambazo; ni Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, Sudan Kusini na Comoro. Kutokana na umuhimu…