JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Gamboshi: Mwisho wa dunia (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema: “Yule kizee aliyeniweka mlangoni alikuja akataka kunichukua tena anipeleke kusikojulikana. Nilikataa na akawa ananilazimisha nikubaliane naye. Hapana jamani, dunia ya Gamboshi ndiyo hasa ninayopenda kuishi, maisha ya maajabu ndiyo kipenzi cha roho…

Mitanange ya kibabe AFCON

Takriban siku tatu zimebaki kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuanza rasmi mwaka huu. Katika michuano hiyo mechi nyingi zitachezwa katika makundi manne, na kila kundi hujumuisha timu nne. Kuanzia kundi A, ambalo linaongozwa na timu mwenyeji,…

Polisi wamkoga JPM

Ni ajabu na kweli, magari matano kati ya manane yaliyokuwa yanahusishwa na ‘papa wa unga’, yaliyokuwa yamehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay yameondolewa kituoni hapo kwa njia za utata. Magari hayo ya kifahari ni mali ya Lwitiko Samson Adam (Maarufu kama…

Mdhamini, Mwenyekiti CWT

Hali imezidi kuwa tete katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kutiliwa shaka na baadhi ya wanachama, JAMHURI limebaini.  Gazeti hili la JAMHURI limejiridhisha kuhusu kuwapo kwa mpasuko miongoni…

‘Tunaimba ujamaa, tunataka matokeo ya kibepari’

Ufuatao ni mchango wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba, alioutoa hivi karibuni bungeni wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Fedha. “Mheshimiwa mwenyekiti, mimi nashukuru umenipa nafasi nichangie mpango huu. Mheshimiwa mwenyekiti, nimekuja na mipango mitatu. Nimekuja na…

NINA NDOTO (21)

Tumia kipaji chako   Kipaji ni kitu chochote unachoweza kukifanya kwa urahisi bila kutumia nguvu nyingi. Kimsingi kipaji huwa hakichoshi. Kuna watu wana vipaji vya uandishi, uongozi, kuimba, kucheza muziki, kuchora, kuigiza, kushona, kupamba, kupika, orodha ni ndefu, kwa kutaja…