Latest Posts
Wadau wa maendeleo Tanga wakutana kujadili mustakabali wa maendeleo ya Sekta ya Maji
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Waziri wa Maji Jumaa Aweso na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa wamefanya kikao kazi cha kimkakati na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Wabunge wa Mkoa wa Tanga kwa lengo la kujadili mustakabali wa sekta…
TPA yaanza kwa kishindo michuano ya SHIMMUTA
Timu za mpira wa miguu na netball za iMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) zimeanza vyema kampeni za kutetea mataji yao baada ya kuzibugiza bila huruma timu za Tume ya Madini na Tume ya Nguvu za Atomic jijini Tanga….
Coast City Marathon kurundima Novemba 30, kuchangia miundombinu shule yaPangani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani unatarajia kuandaa mbio za Coast City Marathon zinazotarajiwa kufanyika Novemba 30, 2024, zikiwa na lengo la kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani iliyopo katika Halmashauri ya Mji Kibaha. Huu…
TAKUKURU Mtwara waokoa mil 31/- za viuatilifu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 31 fedha za viuatilifu katika msimu wa kilimo mwaka 2024/2025. Akizungumza jana mkoani Mtwara, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa…
Rwanda yapeleka msaada wa kibinadamu Gaza
Serikali ya Rwanda imepeleka shehena ya misaada ya kibinadamu zaidi ya tani 19 za chakula,vyakula vya watoto, dawa na vifaa vya matibabu kusaidia wananchi wa Gaza. “Rwanda itaunga mkono jitihada za kimataifa katika kutoa misaada ya kibinadamu kwa wananchi wa…
UN yaanza kuchunguza uhalifu wa kivita Darfur
Jopo la wataalamu lililoundwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasili nchini Sudan kuchunguza madai ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Jeshi la wanamgambo wa (RSF) katika eneo la magharibi la Darfur. Timu hiyo iliwasili katika mji wa…