JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ushauri huu uzingatiwe

Wiki iliyopita wadau mbalimbali nchini pamoja na wengine kutoka jumuiya ya kimataifa walishiriki mdahalo mahususi kuhusu masuala ya biashara nchini. Katika mdahalo huo mengi yalijitokeza yenye lengo la kuboresha ili hatimaye kupata tija zaidi kwa upande wa tasnia ya biashara…

NINA NDOTO (23)

Itumie intaneti isikutumie   Kama kuna watu waliishi kuanzia miaka ya 1990 na kurudi nyuma ukiwarudisha leo duniani wataona maajabu mengi. Dunia imebadilika sana, imekuwa kama kijiji. Leo hii unaweza kuwasiliana na mtu aliyeko nje ya nchi kana kwamba ni…

Tumejipanga kuvihudumia viwanda

Wakati nchi ikijiandaa kwenda kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) inazidi kuwapatia wananchi wa Dar es Salaam na Pwani maji. Ni wakati mwafaka kuwahamasisha na kuwaelimisha…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (19)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuainisha mapato yatokanayo na ajira ambayo kisheria unapaswa kuyalipia kodi kama mwajiriwa. Ni wajibu wa mwajiri kukata kodi hiyo ya zuio kwa pato la mwajiriwa pale anapompatia malipo hayo kila mwezi. Sitanii, jambo moja…

MAISHA NI MTIHANI (34)

Wameniteta naye huwa amewateta Kusemwa ni mtihani. Wameniteta naye huwa amewateta (Methali ya Wanyankole). Unanisengenya, wanakusengenya (Methali ya Wahaya). Wawili husengenya mmoja (Methali ya Wahaya). Huwezi kuwazuia ndege wasiruke juu ya kichwa chako, wataruka tu, lakini wakitaka kujenga viota lazima…

Vigogo wa Serikali walaza nje familia ya watu 13

Kutoa maoni au uamuzi kuhusu jambo ambalo bado halijatolewa hukumu mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama, hivyo unaweza kusababisha kupotosha mwenendo wa shauri au kesi iliyopo mahakamani. Jambo hilo linaweza kutendwa na mtu yeyote kwa kuzingatia masilahi anayopata kutoka upande…