JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Fikra inasaidia kuchochea maendeleo

Watanzania tuna kitu kinachotusumbua. Tunataka kujenga jamii iliyo bora. Tunataka kujenga jamii yenye mshikamano na uzalendo. Tunataka kujenga jamii yenye maadili mema na kuwarithisha watoto wetu maadili hayo. Tunataka kujenga jamii ambayo itarithisha vizazi vijavyo Tanzania yenye neema. Tutaijenga vipi…

Historia ya ukombozi inatoweka polepole

Juma liliopita nimeongozana na ugeni kutoka baadhi ya nchi za Kusini mwa Afrika – Namibia, Zimbabwe, Msumbiji, na Zambia –sehemu ya wajumbe wa bodi ya Southern African Research and Documentation Centre (SARDC), kituo cha utafiti kilichopo Harare kinachofanya kazi kwa karibu sana…

Lissu kupoteza sifa urais, ubunge 2020

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema moja kati ya makosa mawili yaliyosababisha Tundu Lissu kufutwa ubunge ni kutojaza taarifa za mali na madeni. Kosa hili kwa mujibu wa Ibara ya 67(2)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa…

Uponyaji wa majeraha katika maisha (3)

Nakusihi wewe ambaye umeumizwa na mzazi wako, ‘msamehe’. Umeumizwa na mtoto wako wa kuzaa, ‘msamehe’. Umeumizwa na mume wako, ‘msamehe’. Umeumizwa na mke wako, ‘msamehe’. Umeumizwa na kaka yako, au dada yako, ‘msamehe’. Umeumizwa na jirani yako, ‘msamehe’. Umeumizwa na…

MAISHA NI MTIHANI (36)

Neno ‘haliwezekani’ tafsiri yake hujafikiria sana   Suluhisho ni mtihani. Kila tatizo lina suluhisho, tatizo ni wapi upate hilo suluhisho. Kuna maoni tofauti juu ya suluhisho. Uri Levine anapendekeza: “Lipende tatizo, na si suluhisho.” Kuna ambao wanaona kuwa usijikite kwenye…

Marekebisho vitambulisho vya wamachinga yanahitajika

Rais John Magufuli amejipambanua kama kiongozi mpenda wanyonge. Mara zote amesikika na hata ameonekana akiwatetea watu wa kada hiyo ambao kwa muda mrefu wametaabika. Hili ni jambo jema linalostahili kutendwa na kiongozi mkuu wa nchi. Katika kutekeleza dhana hiyo ya…