JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waliomdanganya JPM kibao chageuka rasmi

Miezi miwili tangu aliyestahili tuzo ya mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), James Kunena, kupokwa fursa hiyo saa chache kabla ya kutunukiwa na Rais Dk. John Magufuli katika kilele cha mwaka huu cha Mei Mosi, hali si shwari…

Dizeli yabainika ndani ya visima vya maji

Baadhi ya visima vya maji safi katika Kitongoji cha Buseresere wilayani Chato, mkoani Geita vimebainika kuwa na mchanganyiko wa maji na dizeli. Kutokana na hali hiyo, wananchi hao wanaelekeza lawama zao kwa mmiliki wa Kituo cha Mafuta cha Buseresere, Samwel…

Vigogo KCBL watelekeza mali za mabilioni

Wafanyakazi wawili miongoni mwa watano waliofukuzwa kazi na Bodi ya Uongozi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) wametoweka na kutelekeza mali za mabilioni ya fedha. Mali hizo ni pamoja na nyumba za kifahari, magari pamoja na viwanja. Ni mali ambazo…

Je, wajua Wazungu, Wahindi, Wachina wote ni weusi?

Sehemu hii ya pili ya maadhimisho ya miaka 60 tangu kugunduliwa kwa fuvu la binadamu wa kale la Zinjanthropus (Zinj) katika Bonde la Olduvai mkoani Arusha, wataalamu wawili wa mambokale – PROFESA CHARLES MUSIBA kutoka Chuo Kikuu cha Colorado, Marekani;…

Penye nia pana njia

Wiki iliyopita serikali ilitoa taarifa kuhusu uamuzi wake wa kuanza  mchakato wa ununuzi wa vichwa 22 vya treni, mabehewa 1,430 ya mizigo na mabehewa 60 ya abiria, vitakavyotumika kwenye uendeshaji wa reli ya kisasa, maarufu kama SGR, ambayo ujenzi wake…

NINA NDOTO (25)

Fanya kazi kwa bidii   Nyuma ya ndoto nyingi zilizofanikiwa kuna kufanya kazi kwa bidii. Kama haupo tayari kufanya kazi kwa juhudi sahau kabisa ndoto zako kutimia. Ukimuuliza kila mtu aliyefanya makubwa katika dunia hii, sentesi “fanya kazi kwa bidii”…