JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NINA NDOTO (26)

Nyuma ya pazia   Nyuma ya makala za nina ndoto kuna makala nyingi zilizowahi kuandikwa na hazijawahi kusomwa na mtu yeyote isipokuwa mimi mwandishi. Nyuma ya nyimbo wanazoimba wasanii wengi na tunazisikia zikichezwa redioni na nyingine tumepakua na kuweka katika…

Jinamizi wizi wa magari laibuka

Utata umegubika kuhusu umiliki wa gari la mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Moshi, Haika Mawala, lenye namba za usajili T 991 DMS aina ya Toyota Vangurd, baada ya taarifa mpya kuibuka zikidai gari hilo ni la wizi na…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (22)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuuliza maswali haya: “Je, mfanyabiashara unaufahamu mwaka wa kodi wa taasisi au kampuni yako? Unafahamu makisio na taarifa ya mapato ya biashara au shughuli zako yanafanywaje? Usikose sehemu ya 22 kupitia Gazeti la JAMHURI…

Fursa ya kipekee kiuchumi kwako na familia

Naitwa Dk.  Joseph Kankola Buberwa au Dk. JK Buberwa. Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 50. Ni  Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya JKBRS International Co Ltd yenye ofisi zake jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam. Hivi karibuni nimependekezwa kuwa…

Chuo cha Bandari chemchemi ya wataalamu

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) pamoja na kumiliki bandari nchini, pia inamiliki Chuo cha Bandari (Bandari College) kilichopo katika Wilaya ya Temeke. Chuo hiki ndicho chemchemi au hazina ya kutoa utaalamu au maarifa ya kuwa na uwezo au…

Ndugu Rais, Bashiru Ally ni wa fungu lipi?

Ndugu Rais, fikra za walio timamu hazijadili watu. Hujadili fikra pevu za watu walio timamu. Kwa walio wengi mpaka leo hawajaelewa ilikuwaje mpaka ndugu Bashiru Ally akateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Namfahamu tu kwa mawazo yake…