JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ameuawa?

Naomi Marijani (36), mama wa mtoto mmoja, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ametoweka katika mazingira yenye utata kiasi cha kujengeka hisia kuwa ameuawa, JAMHURI linaripoti. Hadi leo zimetimia siku 63 tangu Naomi ametoweka katika mazingira yenye kuacha maswali…

Busara katika kodi ya ardhi

Hivi karibuni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, ameonyesha ujasiri zaidi katika kuzibana taasisi na kampuni zenye madeni makubwa ya kodi ya pango la ardhi. Mpita Njia ama MN anatambua ukubwa wa tatizo hilo….

HALI YA UCHUMI KWA WATANZANIA

TEC, Bakwata, CCT wafichua mkwamo   Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wamefichua mambo manane yanayoifanya nchi ishindwe kuwahakikishia wananchi uchumi imara na maendeleo endelevu. Mbali na kufichua aina…

Nchi yapiga hatua zaidi sekta ya afya

Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa kuwa na mashine bora 24 zinazopima makundi ya damu. Mitambo hiyo ya kisasa zaidi ulimwenguni inahusika pia kupima maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwamo homa ya ini na virusi vya ukimwi. Afrika Kusini ndilo…

Diaspora wa kwanza duniani walitoka Ngorongoro

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Profesa Audax Mabulla na Meneja Idara ya Urithi wa Utamadani katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) katika Bonde la Olduvai, Mhandisi Joshua Mwanduka; wanazungumzia ugunduzi wa Zinj miaka 60 iliyopita na…

Tumewasikia viongozi wa dini

Mwishoni mwa wiki iliyopita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) walizindua kitabu chao kinachoelezea namna ya taifa kuendesha uchumi wa soko jamii. Maudhui ya kitabu hicho yamegusa mambo mengi….