JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi?

Maneno ya Kiswahili yaliyotumika kwenye wimbo wa ‘Spirit’ wa Beyonce Knowles uliotoka hivi karibuni yamegusa hisia za Watanzania wengi. Si jambo geni kuyasikia maneno ya Kiswahili yakitumiwa na wasanii maarufu katika nyimbo zao, alikwishawahi kuyatumia Michael Jackson katika wimbo wake…

Ligi dhaifu, Taifa Stars pia dhaifu!

Emmanuel Amunike! Alipata sifa sana wakati akiwa mchezaji lakini amejikuta akiwa garasa katika kazi ya ukocha. Sitaki kuzungumzia huko alikotoka, lakini ndani ya Taifa Stars ameshindwa kufikia malengo ya waajiri wake, nao wamemtoa kafara. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na…

Alivyouawa

Siku chache baada ya Polisi kuthibitisha kwamba Naomi Marijani ameuawa, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini kwamba maandalizi ya mauaji yake yalifanyika wiki moja kabla, huku akiishi na mtuhumiwa wa mauaji katika nyumba moja. Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini…

Fuvu la Zinj ni zaidi ya tanzanite

Mhadhiri wa Utalii na Mambo Kale katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Noel Lwoga; na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Profesa Audax Mabulla, wanazungumzia ugunduzi wa Zinj miaka 60 iliyopita na faida zake kwa Tanzania, Afrika na…

Mtazamo wa Jaji Mkuu usipuuzwe

Wiki iliyopita Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, alipendekeza kufanyika mabadiliko ya sheria ili kuruhusu watuhumiwa wa makosa yote, yakiwamo ya mauaji na uhujumu uchumi kupewa dhamana. Lengo la pendekezo hilo ni kupunguza msongamano kwenye…

NINA NDOTO (27)

Weka malengo Ndoto inahitaji malengo. “Ndoto bila malengo ni ndoto tu, vinginevyo utaishia kupata mambo usiyoyategemea, hivyo kuwa na ndoto na kuwa na malengo,” anashauri Denzel Washington. “Malengo ni maono na ndoto vikiwa katika nguo za kazi,” anasema Dave Ramsey….