JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

SADC imepiga hatua kubwa

Mwezi ujao Tanzania itakuwa mwenyeji wa kikao cha kilele cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (The Southern African Development Community – SADC) jijini Dar es Salaam. Ni kikao cha 39 kinachofanyika kila…

Je, kesi haiendelei kwa kukataa kupokea ‘summons’?

Summons ni wito maalumu wa mahakama. Mara zote unapofunguliwa mashitaka (unaposhitakiwa) hasa mashitaka ya  madai, basi ili uweze kufika mahakamani na kujua mashitaka yanayokukabili yaipasa mahakama kutuma wito maalumu  ambao kwa jina la kitaalamu huitwa ‘summons’. Mara nyingi wito huu…

Palipo na upendo kuna maisha (2)

Ulimwengu wa leo unahitaji kuhubiriwa namna mpya ya kuishi maisha ya upendo. Ni hatari watu wa ulimwengu kuishi bila upendo. Bila kuishi maisha ya upendo, dunia yetu itageuka kuwa jehanamu. Mungu hutabasamu pale anapoona mwanadamu anaishi maisha ya upendo. Nafsi…

MAISHA NI MTIHANI (39)

Ukitumia dakika 60 kulalamika, umepoteza saa 1 Kulalamika ni mtihani. Unaweza kulalamika kuwa maua aina ya waridi yana miiba au kusifu kuwa miiba ina maua. Ukitumia dakika sitini ukilalamika, umepoteza saa moja. Kama una muda wa kulalamikia jambo, una muda…

Rais Magufuli aandika historia Rufiji

Rais Dk. John Magufuli amezindua rasmi ujenzi wa mradi wa umeme wa maji Mto Rufiji. Mradi huo utakapokamilika utazalisha megawatt 2,115 za umeme. Akizungumza katika uzinduzi huo uliohusisha uwekaji wa jiwe la msingi, Rais Magufuli amesema kufanikishwa  kwa mradi huo…

Manabii wa viberenge vya Mlima Kilimanjaro…

Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa waalikwa kwenye mkutano wa mwaka unaoandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kuwakutanisha wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka pande zote nchini. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia TANAPA wameweka utaratibu…