JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NINA NDOTO (28)

Tumia kichwa chako vizuri   Kila mtu amezaliwa na kichwa chenye ubongo  kinachoweza kufanya mambo makubwa. Akili aliyopewa mwanadamu ikitumika vizuri inaweza kufanya mambo makubwa na pia kusaidia kutimiza ndoto nyingi. Mtu asiyeweza kutumia akili tunasema amerukwa  akili au ni…

Nyaraka muhimu unapokabidhiwa gari kutoka bandarini

Hivi karibuni tumeeleza njia rahisi ya kutoa gari bandarini katika makala iliyopita. Njia hizi ni zile ambazo  mteja anatakiwa kuzifuata ili aweze kutoa gari lake bandarini kwa haraka na bila usumbufu. Leo katika makala hii tutaelezea umuhimu wa fomu za Vehicle Discharge Inspection Transfer Tally (VDITT)…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (24)

Wiki iliyopita nilihitimisha mada yangu kwa kuhoji iwapo msomaji unafahamu viwango vinavyotozwa kwenye Kodi ya Zuio. Nirudie kukiri kuwa hadi sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inacho kituo kimoja tu cha Elimu kwa Mlipakodi kilichopo Dar es Salaam. Baada ya…

MIAKA 20 BILA MWALIMU NYERERE

Tunamuenzi vipi?   Kwanza, naomba niwapongeze sana vijana hawa; Mhariri Mtendaji wa Gazeti la JAMHURI Ndugu Deodatus Balile na Naibu Mhariri Mtendaji, Ndugu Manyerere Jackton, kwa tuzo za uandishi bora walizopata mwaka huu kwa kazi zao nzuri sana. Walistahili kabisa…

Ndugu Rais umetukumbusha ya Mei Dei Mbeya

Ndugu Rais, kukumbuka tuliyoyaona na kuyasikia Mbeya wakati wa sherehe za Mei Mosi au Sikukuu ya Wafanyakazi ni kujirejeshea huzuni na simanzi mioyoni! Lo! Maandamano yalikuwa marefu yale! Du! Mabango yalikuwa mengi yale, lakini yote yalibeba ujumbe uliofanana. “Tanzania ya…

Fursa ya kipekee kiuchumi kwako na familia (3)

‘Tuchangie tupate mtaji wa Sh milioni 100’   Mwaka 2004 hadi Mei 2006 nilikuwa nimetumia uwezo wangu wa masoko kusajili dawa ya kiasili ya Dental Formula Power (DFP), ambayo inasaidia kutibu na kukinga meno yasipate magonjwa na kuzuia wazee wabaki…