JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Fid Q kusherehekea ‘birthday’ na Kitaaolojia

Msanii wa muziki wa hip-hop, Farid Kubanda, maarufu kama Fid Q, kila ifikapo Agosti 13, husherehekea siku yake ya kuzaliwa. Mashabiki wa muziki wa Fid Q wanafahamu Agosti 13 hufanya nini kwa mashabiki wake. Fid Q hutumia fursa hiyo kukonga nyoyo za…

Mashabiki Simba, Yanga tatizo

Kila wakati uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umekuwa ukiambatana na malalamiko ya mashabiki wa Simba na Yanga. Kocha yeyote yule atakayechagua timu ya taifa, lazima atajikuta akiangukia kwenye uadui na mashabiki wa Simba au wale wa Yanga. Wachezaji wa…

Simu ‘yamuua’ Naomi

Siku chache baada ya polisi kutangaza kumkamata Hamis Said Luwongo (38), kwa tuhuma za kumuua na kumchoma moto mke wake, Naomi Marijani, taarifa za kina zimeanza kuvuja na inaonekana simu ya mkononi ilichangia kutokea kwa mauaji hayo. Uchunguzi unaonyesha kuwa…

Tuhuma za rushwa zamtikisa DC Sabaya

Mzimu wa tuhuma za kudai na kupokea rushwa kutoka kwa wawekezaji mbalimbali Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro umezidi kumwandama Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai ole Sabaya. Safari hii DC huyo anatajwa kudai na kupokea rushwa ya Sh milioni 10 kutoka kwa…

Machungu mgogoro wa ardhi Kwimba

Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka mitatu sasa baina ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mahiga na familia ya Dionis Mashiba, Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, unaonekana kupuuzwa na mamlaka wilayani hapa. Mtanziko huo ulioanza mwaka 2016, unatokana na…

Mradi wa umeme Rufiji rasilimali mpya nchini

Mwishoni mwa wiki iliyopita Rais Dk. John Magufuli alizindua ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa maji wa Mto Rufiji. Mradi huo wa kufua umeme wa Mto Rufiji, mkoani Pwani unatarajiwa kuzalisha megawatt 2,115, kiwango ambacho ni kikubwa zaidi katika…